1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.11.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S12 Novemba 2020

Hali ya kisiasa nchini Tanzania/ Burundi: Serikali ilianza kupiga mnada mali ya wapinzani walioko uhamishoni na gerezani> Mahojiano/ Mauaji mapya ya halaiki kaskazini mwa Msumbiji/ Serikali za siasa kali za kizalendo nchini Hungary, Poland na nchi nyingine wanachama wa Umoja wa Ulaya zimepoteza mtu wao kufuatia kushindwa kwa Donald Trump. Je, watalazimika kutafakari upya mkakati wao?

https://p.dw.com/p/3lAvn