1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.10.2020 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S12 Oktoba 2020

Umoja wa Ulaya umesema una wasiwasi na mapigano mapya kati ya Armenia na Azerbaijan. Uturuki imetangaza mpango wa kutuma tena meli ya utafiit kwenye eneo la mzozo na Ugiriki. Waandamanaji kadhaa wamekamatwa nchini Belarus.

https://p.dw.com/p/3jlzK