1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.06.2019 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
12 Juni 2019

Maelfu ya waandamanaji wamiminika Hong Kong kupinga mswada wa kupelekwa watuhumia China bara kufunguliwa mashitaka // Jeshi la Sudan na makundi ya upinzani wakubaliana kuanza tena mazungumzo ya kuunda baraza la mpito // Na Iran yamuachia huru mfanyabiashara wa Lebanon aliyetuhumiwa kuwa jasusi wa Marekani

https://p.dw.com/p/3KCeI