1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.06.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S12 Juni 2019

Sudan: Wanajeshi na upinzani kuanza tena mazungumzo/ Zitto Kabwe anasema atazishitaki mamlaka visiwani Zanzibar kwa kumkamata na kumzuilia kusafiri kinyume cha sheria hapo jana, wakati akiwa njiani kuelekea Mombasa nchini Kenya/ Kanisa la Kianglikana nchini Kenya limepiga marufuku wanasiasa kuhutubia waumini kwenye madhabahu/ Leo ni siku ya kupambana na ajira kwa watoto ulimwenguni

https://p.dw.com/p/3KEGS