1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.05.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S12 Mei 2021

Rais wa Uganda Yoweri Museveni anaapishwa hii leo kwa muhula mwingine wa miaka mitano// Jeshi nchini Myanmar limeshakaa madarakani siku 100,tangu lilipoipindua madarakani serikali iliyochaguliwa na wananchi ya Aung San Suu Kyi// Hali ya janga kubwa la kiafya nchini India imeitia dosari sifa ya waziri mkuu Narendra Modi.

https://p.dw.com/p/3tHhT