1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.05.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S12 Mei 2020

Tanzania: Wabunge waliovuliwa uanachama kutoka Chadema wamesema watajiunga na vyama vingine vya siasa/ Kenya inazingatia kuweka mikakati zaidi kushughulikia kundi la madereva wa malori walio hatarini kuambukizwa ugonjwa wa COVID-19 na pia kuusambaza/ Mgogoro wa kidiplomasia unashika kasi kati ya Uturuki na nchi tano za Ulaya na Ghuba/ Mapigano makali yametokea nchini Yemen

https://p.dw.com/p/3c8Mc