1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.05.2019 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
12 Mei 2019

Umoja wa Mataifa wathibitisha waasi wa Houthi wameanza kuondoka katika bandari tatu muhimu nchini Yemen // China na Marekani zatoa taarifa zinazokinzana juu ya mazungumzo ya biashara // Na Kiongozi wa upinzani Venezuela Juan Guaido ataka ushirikiano na jeshi la Marekani kumuongezea mbinyo Maduro

https://p.dw.com/p/3IMFb