1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.04.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S12 Aprili 2019

Maelfu ya waandamanaji nchini Sudan wameweka kambi nje ya wizara ya ulinzi mjini Khartoum kushinikiza iundwe serikali ya kiraia// Kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki Papa Francis jana alionesha kitendo cha aina yake kuwahi kushuhudiwa katika historia ya karibuni ya uongozi wa kanisa// Kiasi cha watu 75 wameuawa katika kipindi cha wiki moja cha makabiliano yanayoendelea nchini Libya.

https://p.dw.com/p/3GgeQ