1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.02.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S12 Februari 2021

Suala la kuwepo au kutokuwepo ugonjwa wa COVID-19 nchini Tanzania linaendelea kutawala nchini humo, licha ya serikali kuwataka raia wake wasiwe na hofu kwa sababu ugonjwa huo umedhibitiwa// Hii leo nchi wanachama wa Mahakama ya Uhalifu -ICC inamchagua mwendesha mashtaka mkuu wa taasisi hiyo ya kimataifa kuchukua nafasi ya Fatou Bensouda.

https://p.dw.com/p/3pHwm