Uganda: Wagombea wakuu wa upinzani katika uchaguzi wa Alhamisi wameazimia kushirikiana katika kulinda kura zao kwa pamoja/ Wananchi wa Zanzibar leo wamesherehekea miaka 57 ya Uhuru / Trump, Pence waahidi kushirikiana kumaliza muhula wao/ Congo: Hatua ya rais Tshisekedi kuwapa msamaha maafisa wawili waliokutwa na hatuia ya ubadhirifu wa fedha za umma imesababisha manung'uniko