1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.11.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Novemba 2019

Nchini Tanzania joto la kisiasa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa linazidi kupanda> Mahojiano/ Rais Tshisekedi alikamilisha ziara ya siku mbili nchini Uganda/ Shirika la ukadiriaji ubora wa bidhaa nchini Kenya limezipiga marufuku kampuni tano za kuuza unga kwa kuingiza unga wa sembe usio viwango/ Uhispania yachagua bunge jipya kwa mara ya pili mwaka huu

https://p.dw.com/p/3Sp7K