1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.06.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Juni 2021

Uingereza- Mkutano wa G7 kufunguliwa mjini Cornwall+++Ufaransa kumaliza shughuli za kijeshi katika eneo la Sahel+++Tanzania- Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila atenguliwa+++UN: Watu wapatao 350,000 katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia wanakabiliwa na kitisho kikubwa cha njaa+++Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, watu 5 wamejeruhiwa na nyumba zaidi ya 300 kuharibiwa na matetemeko mawili ya ardhi.

https://p.dw.com/p/3ukaO