1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.06.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S11 Juni 2021

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema mkutano wa G7 ni "nafasi muhimu" ya kulishinda janga la Covid-19+++Siku moja tu mara baada ya serikali ya Tanzania kuwasilisha bungeni bajeti yake kuu ya mwaka 2021/2022 ya jumla ya shilingi trilioni 36.33+++Mamlaka ya safari za ndege nchini Uganda imelezea hatua ya Rwanda kusitisha safari za ndege kuja Uganda isichukuliwe kuwa suala la kisiasa.

https://p.dw.com/p/3um5t