Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Jeshi la Israeli IDF limesema kwamba limegundua makombora yakielekea nchini kutokea Iran na lilikuwa limeuwasha mfumo wa ulinzi wa anga / Bajeti mpya ya ikulu ya Kenya imeanza kufuatiliwa tena kwa karibu baada ya makadirio ya ziada kufikia karibu shilingi bilioni 16.9 sawa na dola za Kimarekani milioni 130 kutoka Shilingi bilioni 8.6 za Kenya