1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.02.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Februari 2021

Kansela Angela Merkel amehimiza tahadhari dhidi ya aina mpya ya virusi vya corona ambavyo tayari viko Ujerumani// DR Congo: Wito watolewa wa kufunguliwa kwa kesi ya mauaji ya Floribert Chebeya// Mpango wa kuchangia damu umezinduliwa rasmi nchini Kenya kwa mwaka huu// Biden atangaza vikwazo dhidi ya viongozi wa kijeshi Myanmar.

https://p.dw.com/p/3pDBG