1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.11.2020 matangazo ya Mchana

SK2 / S02S10 Novemba 2020

Kikao cha kwanza cha bunge la 12 la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kimeanza leo mjini Dodoma// Trump awazuia wafanyikazi wa Ikulu kutoa ushirikiano kwa Biden// Armenia na Azerbaijan zimetangaza mapema leo makubaliano ya kusitisha mapigano kuhusu mkoa wa Nagorno-Karabakh ulioko Azerbaijan chini ya muafaka uliotiwa saini na Urusi.

https://p.dw.com/p/3l5wV