1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.09.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Septemba 2021

Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya wanadai haki kwa wahanga wa mashambulizi ya Laikipia+++Umoja wa Afrika umeisimamisha uanachama Guinea kufuatia jeshi kuipindua serikali ya rais Alpha Condé+++Leo ni siku ya kimataifa ya kuzuia watu kujiua+++Mataifa 10 yanashiriki katika mazoezi ya kijeshi ya kimkakati leo Septemba 10 katika vituo vinne vya mafunzo huko Belarus na vinane nchini Urusi.

https://p.dw.com/p/40B0p