Tanzania yazipiga marufuku taasisi kuzungumzia Corona/ Baadhi ya wafanyabiashara wamesema hali ya biashara imekuwa ni ngumu kutokana na kodi/ UN yawahimiza viongozi Somalia kuafikiana juu ya uchaguzi/ Marekani: Baraza la Seneti limepiga kura kuendelea na mchakato wa mashitaka dhidi ya rais wa zamani/ Wapalestina wakubaliana kumaliza mivutano