1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.07.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S9 Julai 2020

Chama kinachotawala nchini Tanzania CCM leo kinaanza vikao vya ngazi ya juu kufanya maamuzi kuhusu majina ya wagombea watakaoipeperusha bendera yake katika uchaguzi mkuu ujao kuwania urais Tanzania na pia visiwani Zanzibar// Merkel and Rutte kuzungumzia mchakato wa ufufuzi wa uchumi wa Umoja wa Ulaya// Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres alaani uingiliaji wa kigeni Libya.

https://p.dw.com/p/3f1j4