09.07.2020 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

09.07.2020 Matangazo ya Jioni

Joto la kisiasa katika mikoa ya kanda ya kaskazini mwa Tanzania linaendelea kupamba moto wakati ambapo wanasiasa wanaotaka kuwania nafasi za ubunge katika majimbo ya uchaguzi wakiongezeka// Rais Mpya wa Malawi Lazarus Chakwera ametangaza baraza lake jipya la mawaziri// Kenya na Marekani zimezindua rasmi majadiliano ya mkataba wa biashara.

Sikiliza sauti 60:00