Uingereza: Waziri wa mambo ya nje Boris Johnson ajiuzulu/ Hali ya kisiasa Sudan Kusini/ Merkel na Li watafuta ushirikiano zaidi wa kibiashara/ Macron wa Ufaransa ameitisha mkutano wa mabaraza yote mawili ya bunge/ Uswisi imeahidi kuirejeshea Kenya mabilioni ya fedha zilizohamishwa kwake kwa njia za ufisadi kupitia mpango maalum ambao uko tayari