1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.04.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S9 Aprili 2020

Vital Kamerhe, mkuu wa wa ofisi ya Rais Felix Tshisekedi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ameshikiliwa tangu jana jioni katika gereza kuu la Makala mjini Kinshasa// Chama cha NCCR Mageuzi kimewapokea waliokuwa wanachama na viongozi wa chama cha ACT Wazalendo// Tanzania- Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kimeitahadharisha jamii juu ya ongezeko la ukatili wa wanawake na watoto.

https://p.dw.com/p/3aije