1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.06.2020 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
8 Juni 2020

Maandamano dhidi ya ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi yaendelea duniani // Waziri wa zamani wa mambo ya Kigeni wa Marekani Colin Powell atangaza kumuunga mkono Joe Biden katika uchaguzi wa rais // Watu 43 wauawa katika mashambulizi ya wanamgambo nchini Mali

https://p.dw.com/p/3dPjO