1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.10.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S7 Oktoba 2020

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera yuko nchini Tanazania kwa ziara ya siku tatu kuimarisha uhusiano baina ya nchi yake na Tanzania/ Kenya- Hakimu mkuu wa Nairobi Francis Andayi amewakuta wawili kwa kushiriki kikamilifu katika mshabulizi ya Septemba 2013/ Zanzibar- viongozi wa dini leo wameandaa kongamano la kujadili amani na kuliombea taifa ili uchaguzi huo ufanyike kwa njia ya usalama.

https://p.dw.com/p/3jaCR