1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.05.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S7 Mei 2021

Somalia imetangaza kuwa inarejesha uhusiano wake wa kidiplomasia na Kenya// Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, gavana wa mkoa wa Tanganyika, Zoé Kabila ambaye ni mdogo wake rais wa zamani Joseph Kabila// Duru ya nne ya mazungumzo ya mpango wa nyuklia kuanza Vienna// Ujerumani yapinga kuondoa ulinzi wa hatimiliki za chanjo.

https://p.dw.com/p/3t6GR