07.05.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 07.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

07.05.2021 Matangazo ya Asubuhi

Chama tawala nchini Afrika Kusini, ANC kimemsimamisha kazi katibu wake mkuu Elias Ace Magashule kwa shutuma za ubadhirifu// Kwa mujibu wa taarifa ya shirika la afya duniani WHO, mpaka sasa watu waliopatiwa chanjo dhidi ya corona barani Afrika hawafiki hata asilimia mbili// Makubaliano ya kimataifa kimsingi ni suala la utata na hasa pale ambapo nchi mbili au tatu tu zinapohusika kwenye mazungumzo.

Sikiliza sauti 52:00