1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.11.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S6 Novemba 2020

Marekani- Mgombea wa chama cha Democratic, Joe Biden ameendelea kupata kura zaidi katika majimbo yenye ushindani mkali hasa Georgia na Pennsylvania// Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres amesisitiza kwamba hali ya utulivu nchini Ethiopia ni muhimu kwa eneo zima la Pembe ya Afrika// Ujerumani imethibitisha maambukizi mapya ya virusi vya corona zaidi ya 21,000 ndani ya siku moja.

https://p.dw.com/p/3kwtD