1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.10.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S6 Oktoba 2020

Msafara wa mgombea urais wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, Tundu Lissu umezuiliwa na jeshi la polisi waliokuwa na silaha// Rais wa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo Felix TSHISEKEDI yuko ziarani mjini Goma// Ujerumani- Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu wametembelea leo kumbukumbu ya mauaji ya wayahudi Holocaust katikati ya Berlin.

https://p.dw.com/p/3jWlF