1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.06.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S6 Juni 2018

Amani imepungua duniani> Mahojiano/ Maoni: Amani ya Ethiopia yavutwa / Myanmar: Makubaliano yamesainiwa baina ya serikali na mashirika ya Umoja wa Mataifa kuanza kurejea nyumbani kwa wakimbizi wa Rohingya wapatao 700,000. Watetezi wa haki za wakimbizi hao wanatilia shaka ikiwa makubaliano hayo yataondoa hofu ya wa Rohingya na kuwashawishi kurudi nyumbani/ Mwanaanga wa Ujerumani apaa anga za juu

https://p.dw.com/p/2z2xM