1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.05.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S6 Mei 2021

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amerejea nchini mwake jana usiku akitokea ziarani nchini Kenya// Marekani yakubali kuondolewa ulinzi wa hatimiliki ya chanjo za COVID// Mkutano wa G7 wamalizika kwa kukemea China, Urusi, Iran// Kiongozi wa upinzani Israel, Yair Lapid amepewa jukumu la kuunda serikali, baada ya Benjamin Netanyahu kushindwa.

https://p.dw.com/p/3t2mb