ICC yamhukumu Ongwen kifungo cha miaka 25 jela // Jeshi la jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo limechukua rasmi hatamu za uongozi wa majimbo ya kivu ya kaskazini na Ituri kuanzia leo// Meli za kivita za Uingereza na Ufaransa zimepiga doria kwenye kisiwa cha Jersey, kufuatia maandamano ya wavuvi// Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken yuko ziarani nchini Ukraine.