Leo wakaazi wa Scotland wanapiga kura kwenye uchaguzi wa bunge ambao chama tawala cha SNP kinataka kuutumia kama ruhusa ya kuandaa kura mpya ya maoni// Bara la Afrika linapambana kutafuta chanjo wakati hatua ya marufuku ya chanjo ya India ikiliumiza bara hilo// Mji wa Palma nchini Msumbiji bado umo katika hali ya taharuki na mamia ya wakaazi wake wanaukimbia mji huo kila siku.