Korea Kaskazini imesema imewaachia raia 220 wa kigeni waliokuwa wamewekwa kwenye karantini kama njia ya kudhibiti kusambaa kwa virusi vya Corona// Kumeshuhudiwa hali ya utulivu hii leo katika mkoa wa Idlib unaokabiliwa na mashabulizi// Kenya na Somalia zimekubaliana kusuluhisha mzozo uliotishia kuvuruga uhusiano kati yao.