1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.01.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S6 Januari 2020

Maelfu ya Wairan wamuaga kamanda Soleimani/ Iraq yataka wanajeshi wa Marekani waondoke nchini humo/ Hali ya kiusalama bado ni tete baada ya kundi la wanamgambo la al-Shabab kushambulia kambi ya kijeshi inayotumiwa na vikosi vya Marekani na Kenya / Umoja wa Mataifa kuijadili Libya/ Uganda: Polisi inaendelea kudhibiti wafuasi wa mwanasiasa na msanii Bobi Wine kwa kufyatua risasi angani

https://p.dw.com/p/3Vlct