Miaka sita baadaye na chini ya mwaka mmoja baada ya kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, leo hii hapa Zanzibar panafanyika Kumbukumbu ya Kuyaadhimisha maisha ya kiongozi huyo+++Waafghanistan wengi wameikimbia nchi yao baada ya kundi la Taliban kuchukua kwa nguvu madaraka+++Saudi Arabia wanawake wanasemekana kuchangia asilimia 33 ya soko la ajira.