05.11.2020 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 05.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

05.11.2020 Matangazo ya Mchana

Tanzania- Rais John Pombe Magufuli ameapishwa kwa muhula wa pili// Tanzania-Vyama vya upinzani vimehimiza kuchukuliwa hatua mbalimbali ili kuurejesha umoja wa kitaifa huku mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akiwahimiza wananchi kutumia siku ya leo kufunga na kufanya maombi// Wamarekani wasubiri kwa hamu kujua mshindi wa urais.

Sikiliza sauti 60:00