1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.11.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S5 Novemba 2020

Tanzania- Rais Magufuli asema uchaguzi umekwisha na sasa ni wakati wa kutekeleza miradi ya maendeleo na amani// Ethiopia- Abi Ahmed ashinikizwa kusitisha operesheni ya kijeshi Tigray ili kuepusha vita vya wenyewe kwa wenyewe// Maoni- Uchaguzi wa Marekani unararua mishono ya misingi ya demokrasia ya kiliberali.

https://p.dw.com/p/3kvKw