1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.10.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S5 Oktoba 2020

Tanzania: CHADEMA kimeanzisha mchakato wa kisheria wa kupinga mahakamani hatua ya Tume ya Uchaguzi nchini humo kumsimamisha mgombea wake wa urais siku 7 kushiriki kampeni kwa kilichoelezwa ukiukwaji wa maadili/ Nchini Kenya mihemko ya kisiasa inazidi kujitokeza/ Mji wa Paris kutangaza tahadhari ya juu dhidi ya COVID-19/ Unyanyasaji wasababisha wasichana kuacha kutumia mitandao ya kijamii

https://p.dw.com/p/3jRxJ