Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mvutano kati ya Marekani na Iran kuhusu Mlango Bahari wa Hormuz unaendelea / Uhusiano kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz umezidi kushuka baada ya Merz kuikosoa Marekani