1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.04.2020 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
5 Aprili 2020

Rais Trump awaonya Wamarekani kujiandaa kwa idadi ya kutisha ya vifo kutokana na virusi vya corona // Mkutano wa kujadili bei za mafuta duniani waahirishwa wakati mzozo wa Urusi na Saudia ukiongezeka // Na vikosi vya Afghanistan vyamkamata kiongozi wa IS

https://p.dw.com/p/3aT8N