1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.12.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S4 Desemba 2020

Kamishna wa Umoja wa Ulaya kuhusu usimamizi wa migogoro ameitolea mwito serikali ya Ethiopia kurudisha mawasiliano katika jimbo la Tigray// Waziri wa mambo ya nje wa Jordan, Ayamn Safadi amefanya mazungumzo ya nadra na mwenzake wa Israel Gabi Ashkenazi, kwa nia ya kushinikiza kuanzishwa kwa mazungumzo baina ya Israel na Wapalestina// TANAPA yashinda tuzo kwa utoaji wa huduma za uhifadhi na utalii.

https://p.dw.com/p/3mFJA