1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.05.2021 Matangazo ya Jioni

TSA / S08S4 Mei 2021

Kenya na Tanzania zimetia sahihi mikataba kadhaa ikiwemo ya kibiashara// DR Congo- Maswali bado mengi kuhusu uamuzi wa rais wa Rais Felix Tschisekedi wa kuiweka mikoa miwili chini ya amri ya kijeshi// Bunge la Uganda limepitisha muswaada wa hatia za kingono baada ya mvutano uliodumu miaka mitatu hasa kati ya wabunge wanaume na wanawake.

https://p.dw.com/p/3sxVa