04.05.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 04.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

04.05.2021 Matangazo ya Asubuhi

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Kenya// Wiki iliyopita rais Mahmoud Abbas alitangaza kuahirisha uchaguzi mkuu katika mamlaka ya wapalestina// Nigeria- Rais Muhammadu Buhari anakabiliwa na shinikizo kutoka kwa washirika na maadui zake kutokana na kile kinachoonekana kuwa ameshindwa kukabiliana na changamoto za kiusalama katika taifa lake

Sikiliza sauti 52:00