04.04.2020 - Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 04.04.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

04.04.2020 - Matangazo ya Asubuhi

Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona inaendelea kupanda kwenye mataifa duniani. Shirika la Fedha la kimataifa limesema janga la corona litakuwa na athari mbaya kwa uchumi wa dunia. Chama cha Labour nchini Uingereza kitafanya uchaguzi wa kumpata kiongozi mpya

Sikiliza sauti 51:59