03.12.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 03.12.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

03.12.2020 Matangazo ya Jioni

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameikosoa jamii kwa kushindwa kupambana na ongezeko la joto duniani// COVID-19: Mataifa 47 yakabiliwa na hali ngumu zaidi// Umoja wa Mataifa umesema leo kwamba kuna wapiganaji 20,000 wa kigeni na mamluki nchini Libya// Marekani imeyapongeza makubaliano hayo kama fursa ya kukomesha machafuko Afghanistan.

Sikiliza sauti 60:00