03.09.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 03.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

03.09.2020 Matangazo ya Jioni

Shirika la kudhibiti matumizi ya Silaha za Sumu OPCW limeelezea wasiwasi mkubwa hii leo baada ya Ujerumani kusema kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny alipewa sumu aina ya Novichok// Maoni: Je Ujerumani itabadili msimamo wake dhidi ya Urusi? // Tanzania- Leo chama tawala CCM kilikuwa Shinyanga, siku moja baada ya chama kikuu cha upinzani Chadema kufanya mkutano wake mjini humo.

Sikiliza sauti 60:00