1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.12.2020 Taarifa ya Habari Asubuhi

V2 / S12S1 Desemba 2020

Kiongozi wa jimbo la Tigray amemtaka Waziri Mkuu wa Ethiopia kuyaondoa majeshi yake kwenye jimbo hilo siku mbili baada ya Abiy kutangaza ushindi/ Pande zinazohasimiana nchini Libya zimeanza awamu mpya ya mazungumzo nchini Morocco/ Majimbo ya Wisconsin na Arizona nchini Marekani yamethibitisha ushindi wa Joe Biden dhidi ya Rais Donald Trump/ Leo ni Siku ya Ukimwi Duniani

https://p.dw.com/p/3m3Kz