1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waasi waliotaka kuipindua serikali ya Rais Museveni wa Uganda wapewa msamaha na Serikali

10 Julai 2007

Mwisho mwa wiki iliyopita nchini Uganda,watu tisa wa kundi la People's Redemption Army (PRA) , waasi wanaotaka kuipindua serikali ya Rais Yoweri Museveni,walipewa msamaha na serikali baada ya kukiri makosa yao.

https://p.dw.com/p/CHBF

Hapo awali watu 12 wa kundi hili ya PRA tayari walikuwa wameshapewa msamaha na serikali.

Mwandisho wetu wa Kampala Omar Mutasa amezungumza na Alhaji Burhan Ganyanamiro, kamishna wa tume ya kutoa msamaha kwa waasi wanaojisalimisha. Bw. Ganyanamiro kwanza anaeleza jinsi tume hii inavyofanya kazi.