Viongozi wa dini Tanzania watoa tamko la pamoja kupambana na Ukimwi
23 Agosti 2007Matangazo
Viongozi hao walitoa tamko kwamba kwa kuwa ugonjwa wa Ukimwi haubagui dini,jinsia wala kabila wamelazimika kukaa pamoja kubuni mikakati ya kukabiliana nao kwa sababu unaathiri jamii nzima.
Mwandishi wetu Hawra Shamte anaripoti zaidi kutoka Dar es Salaam.