1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unaweza kucheza muziki hewani?

8 Februari 2018

Kikundi kimoja cha kuandaa matamasha mjini Frankfurt, Ujerumani, kimeigeuza ndege moja ya kutoa mafunzo kwa wanaanga au astronauts kuwa klabu ya kwanza ya muziki duniani ambapo watu wanacheza hewani kwa kuwa sehemu ya ndani ya ndege hiyo haina nguvu za mvutano au gravity zinazomfanya mtu aweze kusimama.

https://p.dw.com/p/2sJpp